Friday, September 25, 2020

JINSI YA KUTUMIA UTRE NEWS APP



Kuna watu nafahamu wanapata shida kidogo kutumia app ya UTRE NEWS

Kwani app hii ina vitu vingi sana hivyo ni vyema ukiifaham u ili kuifurahia zaidi
Kumbuka ndani ya app hii kuna post nying tofauti Tofauti hivyo unaweza hata kuchagua post gani uzipate na post gani usizipate

Ndani ya app hii pia unaweza futa makala yoyote ile
Unaweza kusoma post kwa kuswipe

Hebu tazama hii video hapa chini




Friday, April 24, 2020

wanafunzi,walezi, walimu na wazazi inawahusu

SCHOOL PVH

PURE VISION HOUSE
schoolpvh.ac.tz

Tunakujali kwa kukupatia Elimu bora TanzaniaπŸ“—πŸ“˜πŸ“™πŸ“
Download app yetu inayoitwa MITANDAO YOTE uweze kujipatia vitu vifuatavyo
✍ Notes zote kidato cha 1 - 6
✍ Practical notes za O-level na A-level
✍ Vitabu vya Mbalimbali mfano Chand zote zipo
✍ Matokeo ya necta na past paper  miaka yote
🌺 Pia utaweza kujiunga na makundi mbalimbali ya diskasheni kwa kila somo
🌺 Pia utaweza kupata mitihani ya kutoka kila pande Tanzania (pre-necta, mock, Terminal, Joint n.k)
Download hapaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://play.google.com/store/apps/details?id=mitandao.yote

Na mengine mengi utapata  kupitia App yetu Ya MITANDAO YOTE kama yafuatayo
⛹‍♂Habari za michezo
🎬 Muvie
πŸ§‘‍πŸ’» Teknolojia
πŸ—ž Magazeti
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Tuesday, April 14, 2020

JINSI YA KUTOA KIPENGELE USICHOKIPENDA

Kutokana na ukweli kwamba app hii imesheheni vipengele vingi hivyo kuna wakati unajikuta baadhi ya vipengele hauvipendi.
Basi hilo kwetu sio tatizo, unaweza kuifanya app hii vile unapenda.
Unajua kupunguza kipengele USICHOKIPENDA inasaidia kutopokea notifications nyingi ambazo zinakuchosha.
Angalia picha chini