Friday, September 25, 2020

JINSI YA KUTUMIA UTRE NEWS APP



Kuna watu nafahamu wanapata shida kidogo kutumia app ya UTRE NEWS

Kwani app hii ina vitu vingi sana hivyo ni vyema ukiifaham u ili kuifurahia zaidi
Kumbuka ndani ya app hii kuna post nying tofauti Tofauti hivyo unaweza hata kuchagua post gani uzipate na post gani usizipate

Ndani ya app hii pia unaweza futa makala yoyote ile
Unaweza kusoma post kwa kuswipe

Hebu tazama hii video hapa chini




No comments:

Post a Comment