Tuesday, April 14, 2020

JINSI YA KUTOA KIPENGELE USICHOKIPENDA

Kutokana na ukweli kwamba app hii imesheheni vipengele vingi hivyo kuna wakati unajikuta baadhi ya vipengele hauvipendi.
Basi hilo kwetu sio tatizo, unaweza kuifanya app hii vile unapenda.
Unajua kupunguza kipengele USICHOKIPENDA inasaidia kutopokea notifications nyingi ambazo zinakuchosha.
Angalia picha chini




No comments:

Post a Comment